Jumamosi, 14 Julai 2018

NECTA FORM TWO BIOLOGY



NECTA FORM TWO BIOLOGY ni Android App iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi na wadau wengine wa elimu katika kujipatia maswali na majibu yahusuyo itihani ya Necta pamoja na mazoezi ya darasani. Apps hii imewekwa mitihani ya Necta pamoja na mazoezi ya Darasani. 


Kudownload Apps hii fuata link bofya hapa . Apps hii hapa utaidownload kama faili la APK. unachotakiwa kufanya ni kufuata hatua hizi ili kuiweka kwenye simu yako.

1.Download Apps kwa kubofya link ya hapo juu kisha fungua faili baada ya kumaliza kudownload.
2.Bofya faili lako kuinstall
3.Bofya OK au ACCEPT inategemea na simu.
4.Kama simu ikikataa kuinstal nenda kwenye setting kisha weka tick kwenye UNKNOWN SOURCE. Kisha rudi kwenye faili lako na bofya kuinstall.
5.ukimaliza ingia kwenye App za Simu yako utakutana na App yenye pic hiyo ya mduara hapo juu.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa +255712939055

pia unaweza kuangalia App hii bila ya kuidownload Bofya hapa.
Kupata Apps zetu zaidi tembelea ukurasa wetu mkuu Bofya hapa