MOBILE APPs


Karibu kwenye uwanja huu wa Android Apps. Hapa utaweza kujipatia Apps mbalimbali tulizoziandaa kwa ajili yako. Pata mafunzo ya dini, hadithi, afya, Elimu na mengineyo mengi kupitia Apps hizi. Apps hizi ni za bure na hazihitaji internet baada ya kuinstal. Apps hizi pia ni kwa ajili ya simu za android kama smart phone, tablet na nyinginezo.


Katika ukurasa huu utaweza kudounload Apps katika faili ya Apk. Nitofauti na unavyodownload Apps kwenye google play store ambapo utainstall Apps moja kwa moja. Hapa utadownload APK kisha utainstal kwa njia ya kawaida, ni rahisi sana. njia hii pia itakuwezesha wewe kuhifadhi faili lako ambapo unaweza kuinstal muda wowote bila ya kuhitaji intanet tofauti na google playstore. Pia unaweza kushea faili hilo la APK kwa mwenzio.

Namna ya kuinstal Apps zetu utafuata njia zifuatazo.
1.Download APK kwenye link za hapo chini,
2.Fungua faili ulolidownload kwenye simu yako, kisha bofya faili hilo kisha bofya OK kukubali kuinstal fail.
3.Kama simu yako imezuiliwa kuingiza Apps nje ya gooogle playstore unatakiwa uende kwenye setting, kisha  weka tiki kwenye Allow unknown sources kisha endelea kuinstal Apps.
4.Baada ya hapo ingia kwenye Apps za simu yako utaikuta App yetu kwenye Apps zako.
5.Ukishindwa wasiliana nami kwa +255712939055

                                 MAKUNDI YA APPs ZETU:
Bofya kwenye kundi unalotaka hapo chini kupata Apps zinazohusu kundi hili.
1.Apps za Afya
2.Apps za Dini
3.Apps za Elimu
4.Apps za Burudani
5.Teknolojia